Mwanzo 25:26
Mwanzo 25:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Wa pili alizaliwa akiwa amemshika Esau kisigino, hivyo wakampa jina Yakobo. Isaka alikuwa na umri wa miaka sitini wakati Esau na Yakobo walipozaliwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baadaye ndugu yake akatoka, na mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini mkewe alipowazaa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25