Mwanzo 22:12
Mwanzo 22:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 22Mwanzo 22:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, kwa kuwa hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22