Mwanzo 22:11
Mwanzo 22:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 22Mwanzo 22:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo malaika wa BWANA akamwita kutoka mbinguni, akasema, Abrahamu! Abrahamu! Naye akasema, Mimi hapa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22