Mwanzo 17:1
Mwanzo 17:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati Abramu alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, Mwenyezi-Mungu alimtokea, akamwambia, “Mimi ni Mungu mwenye nguvu. Fuata mwongozo wangu na kuishi bila lawama.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17