Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 17:1

Mwanzo 17:1 BHN

Wakati Abramu alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa, Mwenyezi-Mungu alimtokea, akamwambia, “Mimi ni Mungu mwenye nguvu. Fuata mwongozo wangu na kuishi bila lawama.

Soma Mwanzo 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 17:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha