Mwanzo 11:9
Mwanzo 11:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo BWANA alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo BWANA akawatawanya katika uso wa dunia yote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11Mwanzo 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11