Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 11:9

Mwanzo 11:9 BHN

Mji huo ukaitwa Babeli, kwa sababu huko ndiko Mwenyezi-Mungu alikoivuruga lugha ya dunia yote, na kutoka huko akawatawanya watu kila mahali duniani.

Soma Mwanzo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 11:9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha