Kutoka 32:30
Kutoka 32:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata asubuhi yake Musa akawaambia watu, Mmetenda dhambi kuu; na sasa nitakwenda juu kwa BWANA, labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.
Shirikisha
Soma Kutoka 32Kutoka 32:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake Mose akawaambia watu, “Mmetenda dhambi kubwa! Sasa nitamwendea Mwenyezi-Mungu juu mlimani; labda nitafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 32