Kutoka 24:16
Kutoka 24:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukatua juu ya mlima Sinai na wingu likaufunika mlima kwa muda wa siku sita. Siku ya saba Mungu akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu.
Shirikisha
Soma Kutoka 24Kutoka 24:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huo utukufu wa BWANA ukakaa juu ya mlima wa Sinai; lile wingu likaufunikiza siku sita; na siku ya saba akamwita Musa toka kati ya lile wingu.
Shirikisha
Soma Kutoka 24