Kutoka 22:22-23
Kutoka 22:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Msimtese mjane au yatima. Kama mkiwadhulumu hao nao wakanililia, hakika nitakisikiliza kilio chao
Shirikisha
Soma Kutoka 22Kutoka 22:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao
Shirikisha
Soma Kutoka 22