Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 22:22-23

Kutoka 22:22-23 SRUV

Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao

Soma Kutoka 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 22:22-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha