Kutoka 20:20
Kutoka 20:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akawaambia, “Msiogope, maana Mungu amekuja kuwajaribu ili mpate kumcha yeye daima na msitende dhambi.”
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akawaambia watu, Msiogope, maana Mungu amekuja ili awajaribu, na utisho wake uwe mbele yenu, ili kwamba msifanye dhambi.
Shirikisha
Soma Kutoka 20