Waefeso 5:25-26
Waefeso 5:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake. Alifanya hivyo ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno
Shirikisha
Soma Waefeso 5