Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 5:25-26

Waefeso 5:25-26 BHN

Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake. Alifanya hivyo ili kwa neno lake, aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha katika maji

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 5:25-26