Waefeso 4:4-5
Waefeso 4:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile tumaini mliloitiwa na Mungu ni moja. Kuna Bwana mmoja, imani moja na ubatizo mmoja
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna mwili mmoja, na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu. Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja.
Shirikisha
Soma Waefeso 4