Waefeso 4:30
Waefeso 4:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu, maana Roho huyo ni alama ya Mungu kwenu kwamba nyinyi ni watu wake, na thibitisho kwamba siku itakuja ambapo Mungu atawakomboeni.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa mhuri hata siku ya ukombozi.
Shirikisha
Soma Waefeso 4