Waefeso 4:29
Waefeso 4:29 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Maneno mabaya yasitoke vinywani mwenu, bali yale yafaayo kwa ajili ya kuwajenga wengine kulingana na mahitaji yao, ili yawafae wale wasikiao.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno lolote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia.
Shirikisha
Soma Waefeso 4