Waefeso 4:25
Waefeso 4:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, acheni uongo. Kila mmoja anapaswa kumwambia mwenzake ukweli, maana kila mmoja wetu ni kiungo cha mwili wa Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake.
Shirikisha
Soma Waefeso 4