Waefeso 4:2
Waefeso 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni nyinyi kwa nyinyi kwa mapendo.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo
Shirikisha
Soma Waefeso 4