Waefeso 4:16
Waefeso 4:16 Biblia Habari Njema (BHN)
chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. Basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa na kushikanishwa kwa msaada wa kila kiungo, kwa kadiri ya utendaji wa kila sehemu moja moja, huukuza mwili upate kujijenga wenyewe katika upendo.
Shirikisha
Soma Waefeso 4