Mhubiri 10:4
Mhubiri 10:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10Mhubiri 10:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako, Usiondoke mara mahali pako ulipo; Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa.
Shirikisha
Soma Mhubiri 10