Kumbukumbu la Sheria 33:12
Kumbukumbu la Sheria 33:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Juu ya kabila la Benyamini alisema: “Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu, nalo hukaa salama karibu naye. Yeye hulilinda mchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33Kumbukumbu la Sheria 33:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamnena Benyamini, Mpenzi wa BWANA atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 33