Kumbukumbu la Sheria 33:12
Kumbukumbu la Sheria 33:12 BHN
Juu ya kabila la Benyamini alisema: “Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu, nalo hukaa salama karibu naye. Yeye hulilinda mchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”