Kumbukumbu la Sheria 32:39
Kumbukumbu la Sheria 32:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32Kumbukumbu la Sheria 32:39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32