Wakolosai 4:10
Wakolosai 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Aristarko, ambaye yuko kifungoni pamoja nami, anawasalimuni; hali kadhalika Marko, binamu yake Barnaba, (mmekwisha pata maagizo juu yake; akifika kwenu mkaribisheni).
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aristarko, aliyefungwa pamoja nami, awasalimu; pamoja na Marko, binamu yake Barnaba, ambaye mmepokea maagizo juu yake; akifika kwenu mkaribisheni.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4