Matendo 4:11-12
Matendo 4:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyu ndiye ambaye Maandiko Matakatifu yanasema: ‘Jiwe mlilokataa nyinyi waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.’ Wokovu haupatikani kwa mtu mwingine yeyote, kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye sisi tunaweza kuokolewa naye.”
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni. Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Matendo 4