Matendo 2:46
Matendo 2:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliendelea kukutana pamoja kila siku hekaluni. Lakini wakati wa kumega mkate, walikutana katika nyumba zao na wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.
Shirikisha
Soma Matendo 2Matendo 2:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, na kushiriki chakula chao kwa furaha na kwa moyo mweupe
Shirikisha
Soma Matendo 2