Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:46

Matendo 2:46 BHN

Waliendelea kukutana pamoja kila siku hekaluni. Lakini wakati wa kumega mkate, walikutana katika nyumba zao na wakakishiriki chakula hicho kwa furaha na moyo mkunjufu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 2:46