Matendo 19:40-41
Matendo 19:40-41 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana tuna hatari ya kushitakiwa kwa ajili ya matata haya ya leo, ambayo hayana sababu; na katika neno hilo, hatutaweza kujiudhuru kwa mkutano huu. Alipokwisha kusema haya akauvunja mkutano.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:40-41 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama ilivyo sasa, tuko hatarini kushtakiwa kwa kufanya ghasia kwa sababu ya tukio la leo. Kwa kuwa hakuna sababu tutakayoweza kutoa kuhalalisha msukosuko huu.” Baada ya kusema haya akavunja mkutano.
Shirikisha
Soma Matendo 19