Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:40-41

Matendo 19:40-41 NEN

Kama ilivyo sasa, tuko hatarini kushtakiwa kwa kufanya ghasia kwa sababu ya tukio la leo. Kwa kuwa hakuna sababu tutakayoweza kutoa kuhalalisha msukosuko huu.” Baada ya kusema haya akavunja mkutano.

Video for Matendo 19:40-41

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 19:40-41