Matendo 14:17
Matendo 14:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, Mungu hakuacha kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: Huwanyeshea mvua toka angani, huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha.”
Shirikisha
Soma Matendo 14Matendo 14:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hakujiacha pasipo ushuhuda, kwa kuwa alitenda mema, akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwashibisha mioyo yenu chakula na furaha.
Shirikisha
Soma Matendo 14