Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 14:17

Matendo 14:17 BHN

Hata hivyo, Mungu hakuacha kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: Huwanyeshea mvua toka angani, huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 14:17