2 Timotheo 4:18
2 Timotheo 4:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika ufalme wake wa mbinguni. Kwake uwe utukufu milele na milele! Amina.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana ataniokoa na kila neno baya, na kunihifadhi hata nifike katika ufalme wake wa mbinguni. Utukufu una Yeye milele na milele. Amina.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4