2 Timotheo 4:13
2 Timotheo 4:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vya ngozi.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, ujapo ulilete, na vile vitabu, hasa vile vya ngozi.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4