2 Wafalme 5:11
2 Wafalme 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Naamani alikasirika sana, akaenda zake akisema, “Nilidhani kwamba hakika atanijia na kumwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, apitishe mikono yake juu ya mahali ninapougua na kuniponya!
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 52 Wafalme 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Naamani akakasirika, akaondoka, akasema, Tazama, nilidhania, Bila shaka atatoka kwangu, na kusimama, na kuomba kwa jina la BWANA, Mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali penye ugonjwa, na kuniponya mimi mwenye ukoma.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 52 Wafalme 5:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini Naamani akakasirika, akaondoka, akasema, Tazama, nalidhania, Bila shaka atatoka kwangu, na kusimama, na kuomba kwa jina la BWANA, Mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali penye ugonjwa, na kuniponya mimi mwenye ukoma.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 5