Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 5:11

2 Fal 5:11 SUV

Lakini Naamani akakasirika, akaondoka, akasema, Tazama, nalidhania, Bila shaka atatoka kwangu, na kusimama, na kuomba kwa jina la BWANA, Mungu wake, na kupitisha mkono wake mahali penye ugonjwa, na kuniponya mimi mwenye ukoma.

Soma 2 Fal 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 5:11