2 Mambo ya Nyakati 6:36
2 Mambo ya Nyakati 6:36 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ikiwa watatenda dhambi dhidi yako, maana hakuna mtu asiyetenda dhambi, na ukiwakasirikia na kuwaacha washindwe na adui, hata wapelekwe mateka mpaka nchi ya mbali au ya karibu
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 62 Mambo ya Nyakati 6:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakikukosa, (maana hakuna mtu asiyekosa), hata uwakasirikie, na kuwatia mikononi mwa adui zao, wawahamishe, na kuwachukua mateka mpaka nchi iliyo mbali au iliyo karibu
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 6