Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 6:36

2 Mambo ya Nyakati 6:36 SRUV

Wakikukosa, (maana hakuna mtu asiyekosa), hata uwakasirikie, na kuwatia mikononi mwa adui zao, wawahamishe, na kuwachukua mateka mpaka nchi iliyo mbali au iliyo karibu