2 Mambo ya Nyakati 21:1
2 Mambo ya Nyakati 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatimaye Yehoshafati alifariki na kuzikwa pamoja na babu zake katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi; naye Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 212 Mambo ya Nyakati 21:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yehoshafati akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze katika mji wa Daudi; Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 21