2 Mambo ya Nyakati 19:7
2 Mambo ya Nyakati 19:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, sasa mwogopeni Mwenyezi-Mungu, muwe waangalifu katika kila jambo mtakalotenda kwa sababu Mwenyezi-Mungu wetu hatavumilia upotoshaji wa haki, wala upendeleo wala ulaji rushwa.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 192 Mambo ya Nyakati 19:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa hofu ya BWANA na iwe juu yenu; aiweni waangalifu katika jambo mtendalo, kwa maana kwa BWANA, Mungu wetu hakuna upotoshaji wala kupendelea nafsi za watu au kupokea rushwa.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 19