2 Mambo ya Nyakati 15:7
2 Mambo ya Nyakati 15:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi jipeni moyo, wala msilegee kwa maana mtapata tuzo kwa kazi mfanyayo.”
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 152 Mambo ya Nyakati 15:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi jipeni nguvu, wala mikono yenu isilegee; kwa maana kazi yenu itakuwa na thawabu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 15