2 Mambo ya Nyakati 15:2
2 Mambo ya Nyakati 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)
naye akatoka kwenda kumlaki mfalme Asa, akamwambia, “Nisikilize, ee mfalme Asa na watu wote wa Yuda na Benyamini! Mwenyezi-Mungu yu pamoja nanyi, ikiwa mtakuwa pamoja naye. Mkimtafuta, mtampata, lakini mkimwacha naye atawaacha.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 152 Mambo ya Nyakati 15:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
naye akatoka ili amlaki Asa, akamwambia, Nisikieni, Ee Asa, na Yuda wote na Benyamini; BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 152 Mambo ya Nyakati 15:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
naye akatoka ili amlaki Asa, akamwambia, Nisikieni, Ee Asa, na Yuda wote na Benyamini; BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 15