1 Wathesalonike 5:1-2
1 Wathesalonike 5:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia. Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 5