Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 5:1-2

1 Wathesalonike 5:1-2 BHN

Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia. Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajavyo usiku.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 5:1-2