1 Samueli 16:13
1 Samueli 16:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo Samweli akaitwaa pembe yenye mafuta, akamtia mafuta kati ya ndugu zake; na roho ya BWANA ikamjilia Daudi kwa nguvu tangu siku ile. Basi Samweli akaondoka, akaenda zake Rama.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 161 Samueli 16:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Basi Samweli akachukua ile pembe ya mafuta na kumtia mafuta mbele ya ndugu zake, kuanzia siku ile na kuendelea Roho wa BWANA akaja juu ya Daudi kwa nguvu. Kisha Samweli akaenda zake Rama.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 16