Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 16:13

1 Samueli 16:13 BHN

Samueli akachukua upembe wake wenye mafuta akammiminia Daudi mafuta mbele ya kaka zake. Mara roho ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Daudi kwa nguvu, ikakaa tangu siku hiyo na kuendelea. Kisha Samueli akarudi mjini Rama.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 16:13