1 Wafalme 17:5
1 Wafalme 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa alikwenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17