1 Wafalme 17:24
1 Wafalme 17:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo mwanamke mjane akamwambia Elia, “Sasa najua kwa hakika kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na maneno aliyokupa Mwenyezi-Mungu uyaseme ni ya kweli.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17