1 Wafalme 17:13
1 Wafalme 17:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia akamwambia, “Usiogope. Nenda ukafanye kama ulivyosema. Lakini nitengenezee mimi kwanza na kuniletea andazi dogo, kisha jitengenezee wewe na mwanao chakula.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Eliya akamwambia, Usiogope; nenda ukafanye kama ulivyosema; lakini unifanyie kwanza mkate mdogo ukaniletee; kisha ujitengenezee na mwanao.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17