1 Wafalme 17:1
1 Wafalme 17:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi Elia wa kijiji cha Tishbe huko Gileadi, akamwambia mfalme Ahabu, “Ninaapa kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli aliye hai ambaye mimi ninamtumikia: Hakutakuwa na umande wala mvua mpaka nitakapotoa amri.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17